Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Makapuku juu!!!!!!April 9 - Leo ni Miezi Sita ya Makapuku.
Tumepiga hatua kubwa ndani ya miezi sita hii, Anayeongiza kwa Like nyingi ni Kapuku JJ ambaye ana Like kama 80K.
Thread yenye views wengi ndio hii, Yenye comments nyingi ndio hii ambapo ni zaidi ya 100K.
Hakika Makapuku forum, ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo kwani hapa ni kisima cha maarifa kwa uwepo wa segment mbalimbali zinazotufanya tujifunze mambo mapya kila kukicha.
Heri ya maadhimisho ya Nusu mwaka kwa Makapuku wote.
1918 - E.Howard Hunt anazaliwa.
Ni wakala wa zamani wa CIA na mwandishi mashuhuri wa vitabu.
Alikuwa ni sehemu ya Utawala wa Rais Richard Nixon ambapo yeye na CIA wenzake waliratibu skendi maarufu ikimtoa madarakani Rais Nixon, Watergate scandal
1938 - Heinz Fischer anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 11 wa Austria.
Mkuu itakuwa anazaliwa typing error1940 - John Lennon anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanamuziki kutoka nchini Uingereza.
Alifariki mwaka 1980 kwa kupigwa risasi.
Alikuwa ni mmoja waliounda kundi maarufu la " The Beatles "
[emoji122] [emoji106] [emoji123] [emoji120]April 9 - Leo ni Miezi Sita ya Makapuku.
Tumepiga hatua kubwa ndani ya miezi sita hii, Anayeongiza kwa Like nyingi ni Kapuku JJ ambaye ana Like kama 80K.
Thread yenye views wengi ndio hii, Yenye comments nyingi ndio hii ambapo ni zaidi ya 100K.
Hakika Makapuku forum, ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo kwani hapa ni kisima cha maarifa kwa uwepo wa segment mbalimbali zinazotufanya tujifunze mambo mapya kila kukicha.
Heri ya maadhimisho ya Nusu mwaka kwa Makapuku wote.
1940 - John Lennon anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanamuziki kutoka nchini Uingereza.
Alifariki mwaka 1980 kwa kupigwa risasi.
Alikuwa ni mmoja waliounda kundi maarufu la " The Beatles "
Merci le dictateurLeo katika Historia:
Kwa Udhamini mnono wa MAKAPUKU FORUM na MAKAPUKU MEMBERS sina la ziada tukutane tena kesho.
Jumapili njema.
Leo ni birthday NOT deathdayRIP Lennon
1966 - David Cameron anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Uingereza.
Tantee dada....View attachment 414899View attachment 414905
Kwa hisani ya miezi 6 ya Makapuku forum mimi sina la ziada
Niite Jimena Jimenes
Ciao
Thanks for newspaper JJView attachment 414899View attachment 414905
Kwa hisani ya miezi 6 ya Makapuku forum mimi sina la ziada
Niite Jimena Jimenes
Ciao
Huyu ndie anaetaka Wanaume tuwowane!!![emoji87] [emoji134]1966 - David Cameron anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Uingereza.