Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
2001 - George Bush anapitisha mpango wa kuanzisha idara ya kushughulika na Usalama wa ndani wa Nchi hiyo.
Bush alikuwa ni Rais wa Marekani aliyehudumu kwanzia mwaka 2000 - 2008.
Atakuja tuWapi twin sister na magazeti!
1967 - Mwanamapinduzi Ernesto Che Guevara anakamatwa yeye pamoja na wafuasi wake huko Bolivia.
Alikamatwa na wanajeshi wa Bolivia kwa msaada wa CIA. Aliteswa vibaya sana kabla ya kuuwawa kikatili siku moja baadae.
1928 - Didi anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil.
Ameshinda Kombe la Dunia akiwa na Brazil mara mbili, Mwaka 1958 na mwaka 1962.
Katika mashindano ya kombe la dunia la mwaka 1958 yalifanyika pale Sweden, Didi alichaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Mashindano hayo. Brazil hiyo ilikiwa na kijana wa miaka 17 aliyeiteka Dunia, alikuwa ni Pele.
1829 - Juan Peron anazaliwa.
Alikuwa ni Jenerali na Rais wa 29 wa Argentina.
Nimekusaidia kidogo Toz
Hapana Shululu situmii kitwangaNa wewe unapata kitwanga?
Na waka divorce aisee duh1980 - Nick Cannon anazaliwa.
Ni mwanamuziki, Muigizaji na Muongozaji wa filamu toka nchini Marekani.
Alishakuwa mpenzi wa Mariah Carey.
1926 - Alvaro Magana anazaliwa.
Alikuwa ni mtaalam wa masuala ya Uvhumi pia alishika wadhifa wa Rais wa El Salvador.
1980 - Nick Cannon anazaliwa.
Ni mwanamuziki, Muigizaji na Muongozaji wa filamu toka nchini Marekani.
Alishakuwa mpenzi wa Mariah Carey.
Malizia vipengele vyote vya picha mi nalalaView attachment 414369View attachment 414370 Chezea black Swagaz, wame split ndoa yao lakini Mariah yuko kama chizi nowdays maana alimpenda sana Nick
Vizuri huwa havidumu.