Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
Well said.Acha unazi
Safe ina impact kubwa kwao 7bu wamecheza pungufu imewaongezea kujiamini mechi zijazo itakuwa ngumu kupoteza
Pia gap limebaki pts 6 ingawaYanga ana mechi moja mkono ni
Kosa kubwa la Yanga ni kuzembea KUUA MECHI mapema
Tusipoangalia msimu huu ibingwa tutakosa
Chambua mpira siyo unazi tu
..................
Msimu huu Simba mnaweza beba ndooWell said.
Ni mapema sana japo nyota njema huonekana asubuhi.Msimu huu Simba mnaweza beba ndoo
Azam mwenyewe mlimkalisha
.........
Hivi mlozi anaendelea na ule uzi wake wa historia?[emoji208] karudi kuita majina Vingongo Forum
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
...........
YeahNi mapema sana japo nyota njema huonekana asubuhi.
hapo sawa...Yeah
Lakini mna timu nzuri
...........
Ndio....lakini watu wanamkaushia 7bu hajui aliandikaloHivi mlozi anaendelea na ule uzi wake wa historia?
Mpenda sifa.Ndio....lakini watu wanamkaushia 7bu hajui aliandikalo
Siku zingine kimya tu
Ndio hasara ya kuiga vitu asivyovijua
AtawaPM mod waweke sticky
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Bonge la katuniWakubebwa haoooo
[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] View attachment 410485[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Cc: Jimena popote ulipo?
huyo sasa ni kiungo mkumbatiajiYani tuko punguvu alafu anafanya hv..View attachment 410486je tungetimia, ingekwaje?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
HaaaahaaaaYani tuko punguvu alafu anafanya hv..View attachment 410486je tungetimia, ingekwaje?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kikofia katika ubora wakoWakubebwa haoooo
[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] View attachment 410485[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Cc: Jimena popote ulipo?
Nawe pia, kinapatikana wapi
Kishikwambi
Kimya kingi
Ngoja nilale tu
USIKU MWEMA
.................
Niambie mkuuNawe pia, kinapatikana wapi