PENATI YA KWANZA KATIKA SOKA Penati ya kwanza kupigwa katika historia ya soka duniani ilikuwa ni tarehe 14 sep. mwaka 1891.Mechi kati ya WOLVERHAMPTON dhidi ya ACCRINGTON,mchezaji wa wolves,"Bill Heath" ndiye aliyepiga penati hiyo
.View attachment 407651
Ila muulize vzur briz kama hana mtoto wa nje ya ndoa.. Japo mie namjua vzur rafk yangu tumekuwa pamoja tumesoma pamoja.. Ila muulze tu kupata uthibitisho..