Dada yake Venus sura ngumu1981 - Serena Williams anazaliwa.
Ni mcheza Tennis maarufu toka nchini Marekani.
Ameshinda mataji kadhaa makubwa ya mchezo huo.
Kanda mbili zikikatika stand ni AibuLeo Katija Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Stand United ambao ni Chama la wana na hawajaniangusha kwani walisepa na kijiji chote cha Jangwani.
Tukutane kesho.
Bye!!
Ila chura sasaDada yake Venus sura ngumu
......
Happy birthday twins1980 - Mapacha Daniel Sedin na Henrik Sedin wanazaliwa.
Ni wachezaji wa Ice Hockey toka nchini Sweden.
Umeona eeh!Wazee wa kuhisihisi
..........
Kwakuwa sikuwa Team Ureno sikumfatilia sanaJamaa namkumbuka EURO mwaka huu aliwaua watu sijui nusu final
........
Ila kakomaa sanaMurembo....View attachment 406929View attachment 406930 Sana.
Mandela hakuwahi kuniangusha.Ila Mandela alikuwa anajua sana kuchagua maana vifaa vyake ni shida, hata Graca Machel Mandela nae ni mrembo
Happy birthday Winnie
Lakini ya kwetu bado ni homa ya dengue ama neneNdio maana naskia tayari kuna feki
Asante sana kwa historia japo na umeingiza na uchocheziLeo Katija Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Stand United ambao ni Chama la wana na hawajaniangusha kwani walisepa na kijiji chote cha Jangwani.
Tukutane kesho.
Bye!!
Uko vzr sana katibuHappy birthday twins
Mi pia ni shabiki wa hockey na nashabikia Timu ya Luleå Hockey
Mara FreemasonUmeona eeh!
Watu wanaishi kwa hisia tu
Ameni, Karibu sana
Na week ijayo lazima yanga zile goli 5 zijirudieLeo Katija Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Stand United ambao ni Chama la wana na hawajaniangusha kwani walisepa na kijiji chote cha Jangwani.
Tukutane kesho.
Bye!!
MoningiMorning all
UEFA EURO WINNERSKwakuwa sikuwa Team Ureno sikumfatilia sana
Watu wameamua kuanzisha kikundi chao cha mafundi ujenzi.Mara Freemason
Mara Illuminati
Mara sijui nini
........
Ndio ingia google uone picha zake kuna moja nido iko wazi kabisa na ni red carpetIla kakomaa sana
Morning mzee wa kufyatuaMoningi
Habari leo wanachekesha kweli na vipangaboi vyao