Mkuu yule Vale & Tinner habusiki na hii thread
Yeye ni Vingongo Forum
Kuweni na msimamo msishobokee vingongo vinavyojiona mastaa
Thread yao na yetu ni km Simba na Yanga hatukai jukwaa moja isipokuwa tunakutana sehemu zingine tu
Mpotezeeni
.....................