Upo kwenye chumba cha mtihani swali limekugonga ukaamua kutoa smartphone yako na kuanza ku google kisha ku copy & kupest kwny booklet.
Ghafla lecturer anatokea mara kwa uoga ukaficha calculator na kuweka simu juu ya meza.
HAPO NDIO UTAJUA SHETANI YUPO