Kwahiyo huyo aliye hukumiwa kunyongwa kwanini wasimpe miaka hata 60??Every human being needs a second chance...sio lazma umtetee mtu aachiwe huru ila hata kumpunguzia makali ya kifungo...mf. baada ya miaka 30 hadi miaka 15 sio mbaya.
Inaua sema taratibuKwenye mguu haiui
Itabidi aniandikie mistari ili nitoe ngoma moja hatarHuyo ndio mukongo
Nimeairisha Kuja, ila nitakuja mwezi wa 11 nitakaa kama 8monthUmeahirisha!!!
Sijui sasa kwanza kesi lenyewe lefuuu tangu enzi hizo hadi leo...sa siwezi nikasema lolote japo mi binafsi habari za mtu kunyongwa naziona sio.Kwahiyo huyo aliye hukumiwa kunyongwa kwanini wasimpe miaka hata 60??
Karibu, milango iko wazi japo nov ntakuwa mwanza kikazi one month, nafikiri ntakukuta ikiwa utakaa 8months.Nimeairisha Kuja, ila nitakuja mwezi wa 11 nitakaa kama 8month
Nenda Ar kwa Kigli muji wa baridiNipo dar bado
Busy mno, ila kuanzia week end ijayo ntakuwa nimemaliza haya majukumuLeo umepotea sana
Sema inaaikitisha sanaSijui sasa kwanza kesi lenyewe lefuuu tangu enzi hizo hadi leo...sa siwezi nikasema lolote japo mi binafsi habari za mtu kunyongwa naziona sio.
Acha upupuKwahiyo huyo aliye hukumiwa kunyongwa kwanini wasimpe miaka hata 60??
[emoji53] acha niikose kushuhudia hyo kupatwa kwa mwezi lakini siyo kukosa kuangalia mechi ya chelsea vs LiverpoolKUPATWA KWA MWEZI SHUHUDIENI MAKAPUKU...KUFIKIA SAA 5 NA MADAKIKA TUKIO LITAISHA
[emoji12] 4 x 4 is egual to .....
Atasaidia kufanya kazi za jamiiAcha upupu
Wamfunge 60yrs ataweza kuimaliza? si anamaliza chakula cha magereza tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
Sana kwakweli...tumuombee tu.Sema inaaikitisha sana