KimekusikiaKile si ndo kinapondaga Kf kule member only
Imefika hiyo bila kupepesa machoHalafu mkuu uelewe chitchat kuna KF na Vingongo Forum ni chui na paka
Sisi hatuendi kwao lkn wao vinganganizi wanakuja kwetu zen tunawakaushia
Uwe unasoma mchezo
Tupo 10 wote kimya lkn peke yako unakomaa na mtu
Ndo style yetu
.....................
Eeh hiyo ndo mambo mbaya sas Ju hata Prince William ataingilia Madarakan anikutie hapa..Kazi unayo
Hata Dictator uchwarer atamaliza muhula wa urahisi ww ukiwa post ya 5K
...... ...
Alafu jamaa hajuagi kupotezea kitu.....kama mtu ana roho ndogo anaweza kuishia kula ban kwa kumtusiKiranga noma
Km hujui kitu bora ujisalimishe mapema
........
Uchawi wnyewe anausomea googleKazoea mazingaombwe na kusoma vitabu zen kujifanya mzee wa busara na intelligent
.......
Hahahahaha, hapa panaitwa mtakuja...karibu tujumuike kuusukuma uziHii thread ipo na comments zaid ya 100k kurarek uanze kupitia kila aiih Tetemeko la ardhi itakukutia hapo..
Kwahiyo akirudi mpotezee...........hahahaah wanaona wivu sana..walijua hatutafika kokote, sahiv wanatamani kujumuika ila wengi wanaona aibu wanaishia kua wasomaji tu,af mwingine hata akicomment utasikia anajiulizisha vimaswali vya ajabu ajabu....eti kapuku ni nini...hahaha. wafe kwa kihoro
Alizoea kuleta ulozi wake watu wakawa wanampimia tu,Kiranga noma
Km hujui kitu bora ujisalimishe mapema
........
Kazi unayo
Hata Dictator uchwarer atamaliza muhula wa urahisi ww ukiwa post ya 5K
...... ...
Hadi hurumaAlizoea kuleta ulozi wake watu wakawa wanampimia tu,
Sasa ameingia kwenye 18 zao acha aumbuliwe sasa
Yani pale unapigwa vitu vya fact mpk u ashindwa kujitetea.Aaaah wewe, nilishawahi kubishana mwaka jana, nikamtema, inabidi uwe na kichwa kigumu ndio ufanye naye mjadala
Naenda piga ugali
acha uwoga wewe rudi hapa
Halafu mkuu uelewe chitchat kuna KF na Vingongo Forum ni chui na paka
Sisi hatuendi kwao lkn wao vinganganizi wanakuja kwetu zen tunawakaushia
Uwe unasoma mchezo
Tupo 10 wote kimya lkn peke yako unakomaa na mtu
Ndo style yetu
.....................
Kwahiyo akirudi mpotezee
Kauli mbiu yetu ni
No shobo,no supastaa,no ufagio
...........
Kasome post #3 alafu uje kuanzia hapa hapaHii thread ipo na comments zaid ya 100k kurarek uanze kupitia kila aiih Tetemeko la ardhi itakukutia hapo..
Yani pale unapigwa vitu vya fact mpk u ashindwa kujitetea.
So kinachobaki ni
Poa poaNaenda piga ugali
Baadaye kidogo basi
..........