ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Kwa raha zetu.I am here to stay! Jimena naomba tuwe walinzi wa zamu kesho jmosi hamna ofisi.
The name nimerudi mkuu.
Youngblood naona unatanua tu na nahrene, you guys are blooming so well
Kwa wikiendi kama hii Ulinzi ni mgumu, sijui labda tujaribu junapili
hahahaaaa akiwa she utakutana tu na tangazo la ndoa [emoji1] [emoji1]Nasubiri jibu kwa hamu akikwambia nistue
Ndio nilifuta bila kusoma, hilo halitawezekana kabisaJimeee...ulifuta bila kusoma? nilisema tupeane kampani hapa...nikuite babe!! si unajua tena jinsi ulivyo mwaaah?
Nawe Yesu akulindeMakapuku wenzangu niwatakie usiku mwema.
Leo hajapita,ila bibi faiza alionekana maeneo flani.BishopTembo ee!! Vip ngedele ungabu hajapita pande hizi kuona world wondersπππ
Makapuku wenzangu niwatakie usiku mwema.
Oh!! my jimeee...usikatae tafadhali.Ndio nilifuta bila kusoma, hilo halitawezekana kabisa
Nahrene na youngblood .....naanza pledge ukumbi na vinywaji juu yangu......msiwe na wasiwasi mimi kapuku mbishi mjini kinywaji chochote kile kitakuwepo...kazi kwenu.....karibuni kwa pledge
Muoane sasa
...................
alipita yule bi kikongwe anaesemaga "huko shule mlienda kusomea ujinga"BishopTembo ee!! Vip ngedele ungabu hajapita pande hizi kuona world wondersπππ
Samoo naona hutaki lala leohahahaaaa akiwa she utakutana tu na tangazo la ndoa [emoji1] [emoji1]
Hahaha,pumzi fupiMakapuku wenzangu niwatakie usiku mwema.
Leo hajapita,ila bibi faiza alionekana maeneo flani.
alipita yule bi kikongwe anaesemaga "huko shule mlienda kusomea ujinga"
Yupi huyo au ngariba faiza foxy nini!alipita yule bi kikongwe anaesemaga "huko shule mlienda kusomea ujinga"
muda bado sana chiefSamoo naona hutaki lala leo