Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,301
Pole
Pole
Ngoja pesa niwekezee kwa mwanangu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Anakutoa kwenye reli taratibu
Anzia MlimaniYaani nashindwa hata nianzie wapi maana sioni pa kuanzia kuchangia
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] RudiiiiSawa...
Kwani anauhakika gani?
Ila isiwe kesi sanaaaaa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] Ndukiiiiiii
Pambana vivyo hvyo kwa hali uliyonayo
Kumbe hujui?? Sitaki kuamini kuwa hata wewe jirani yake anakuficha[emoji134]Kwani anakunywa?
Mbona hivyo lakin......[emoji85][emoji85][emoji85]Visingizio tu
Gafla mtandao unakata, sijui itakuwajeNa mtaka cha uvunguni sharti ainame
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Achana nazo songa mbeleHivi picha nazitoa wapi?
Embu uninstall apps yako then udownload tenaYaani picha za kudownload au za camera?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kigli anataka kuja kula "Eti kwa vile kasikia nimekupikia"
Cc Jonax
Nsekwa ingekua vyema ujitambulishe, hasa jinsia yako km hutajali mkuuHivi picha nazitoa wapi?
Wataisoma namba safari hiiAitume wap? Na alishawahi kuituma wap? Kama ni kabla hajawa na mimi hiyo siwezi kujali ila kwa sasa hawezi kutuma picha bila ruhusa yangu[emoji4]
Ulimpataje huyo mtoto?Ngoja pesa niwekezee kwa mwanangu.
Ww si autaki bhanaaa
Panda juu ya mwembeHii spidi najitahidi lakini Internet inaniangusha leo nipo remote area..