Binti melodyHuyo Dolly parton ana Sauti tamu hatari....black eyed peas walikuwa watu kipind wanaimba where is the lovesiku hizi ni za Clubin tu!!, You are right! Myley cyrus now days she is somebody else not Hannah Montanna no more scandals kibao aisee ila anaimba vizur still na napenda mashairi yake. Thanx kwa hizi hits bro nadhani mimi nimekuwa wa mwisho kuziona..but thumbs up!! it was nice nime enjoy na haka ka hali ya hewa kuzitizama.
😀😀😀😀kweli kabisa huwa tunajifanya watu wa vurugu Ila ikipigwa hata baruti tu humuoni mtu
Hizo za kizulu zote tamu sana ila sasa lugha ni changamoto....wa kidumu ni the best!! thanx Cobblepots!MAKAPUKU'S HOMELAND VIBES: REMINISCING AFRICA'S FINNEST
1. Sambolera- Khadija Nin
https://youtu.be/3lpuMD_zJCY
2.Woman- Juliana Kanyomozi
3.Pray for me- Darey ft Soweto Gospel Choir
4. Sirimba- Ngoni ft Jaydee
5.Wish me well- Timi Dakolo
6.Unajua- Gilad ft Wendy Kimani
https://youtu.be/lhkslaPN-_4
7. Plus Vivant- Lokua Kanza
8.Tiff- Simi
9.Jailer- Asa
10. Haturudi Nyuma- Kidumu ft Juliana Kanyomozi
https://youtu.be/tw2Ky9mDvOA
11. Na gode- Yemi Alade
12. Nerea- Sauti Sol ft Amos & Josh
13. We are Africa- Rubunhu
https://youtu.be/dc0dubuoyYc
Hizi ni za jana. Ilibidi niziweke nikashindwa.
CC; Jimena , Sweetiepie , briz , shululu , Bitoz , werrason , makaveli10
Jioni njema!!Usiku mwema
Sijawahi hata!!
Tuwaombee tu wale...haswaa Alepoduh huruma sana kuishi nchi ya vita kama Syria
Sad....Huyo dogo hapo alikua ameokolewa kutoka kwenye kifusi kutokana na machafuko yanayoendelea huko syria
Yaani...Isikie kwa jirani
Achana na mpiga puli mzee wa mifujoImechanganywa na nini
Sasa hivi naichekiIle documentary inaitwa " Operation wrath of God au Operation Bayoneta "
cc
shululu
Jimena
Sweetiepie
Bitoz
na wengineoo
Huyu yuko poa sema kapaka masizi tu usoniUnaniogopa eh?View attachment 394889
Hehehe hongeraaaWeeeee sa hv nko na kishkwambi kinanilea..!View attachment 394892kufulia ni mpk aniache
Muweke nimuone akiwa amezitoa hizo gundi zote usoniKaribu fegiView attachment 394893
SunaAcha umbea ww
...........