Makapuku Forum

Sema jonax
Labda nngependa kuwatahadharidha kuwa msijisumbue kupoteza muda wenu kuwania post ya 100k.

Hii ni yangu kabisa maana nmeandaa mkakati au mipango kabambe kabisa ya kuinyakua.

Nitatumia hila pamoja na fitna kibao ili niinyakue tu


ASANTENI...![emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Sawa tu
Baaada ya kuinyakua kuna nn tena!
 
Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…