Kilichomuua ni kutovaa kofia tuUMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.?
>mchukue chura then muweke kwenye chombo ambocho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..
kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake..
pindi inapokaribia kufika boiling point yaani nyuzi 100 chura atashindwa kuongeza temperature ktk mwili wake na hapo ndipo atataka kutoka ktk maji hayo ya moto na yanayo endelea kuchemka..
kutokana na kutumia nguvu nyingi sana ktk kuongeza temperature ktk mwili wake,pindi anapotaka kuruka atashindwa na atakufa humo ndani ya chombo cha maji yanayochemka..
SWALI; NINI KIMEMUUA CHURA.!??
Najua utaniambia ni maji ya moto...
La hashaa.!
kilichomuua chura ni kushindwa kufanya maamuzi mapema ya kutoka katika chombo cha maji yanayochemka hali ya kuwa bado nguvu anazo..
FUNZO
Fanya maamuzi sahihi sasa kabla nguvu za kutaka kufanya changes hazijakuishia kama yaliyomkuta chura..
NOTE; Kuvumilia jambo usiloliweza ni sifa ya punda.
BADILIKA
Bwege we.. Mie nakumbuka mashair kuntu ya pac hapa..Nyongo hiyo, hebu itoe isije kukunyonga
Anao but na huwa anapitia dk 5, hebu jitahidi uje chap utaenjoy kampani yakeUnataka kunambia hadi muda wa mingo hana kabisaaaa!!?[emoji2][emoji2]
misemo ya chugaPambana na hali yako Papaa[emoji123]
kweli mkuu13 ni mkosi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bwege we.. Mie nakumbuka mashair kuntu ya pac hapa..
Yeah mbona iko wazi kabisaUmewona eehhh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo sawa....[emoji5][emoji4][emoji4][emoji4]
Inawezekana x-wife, ntalifikiria hili kwalango w kutokea.My ex hubby kuachilia ile kazi unayoifanya nadhani una kipaji cha utunzi wa mashairi....wakina Dimondi wanakuhusu
Silaya ya mwisho ni kumroga tu. Maana hamna namnaUtampate kwa mfano
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chura yupi sasa fafanua! sikuhizi kuna chura wa aina nyingine mjini.
Dakika sifuri, huwa nacheka sanamisemo ya chuga
HuweziSilaya ya mwisho ni kumroga tu. Maana hamna namnaView attachment 393677
Tareh 7.. Ikapatikana 7 days theory...Itabidi niandae story yake japo kwa ufupi lakini kumbuka alipigwa risasi tarehe 6 au 7 akaja kufa tarehe 13.
13 ni namba mbaya na yenye mkosi zaidi kwa mujibu wao
Basi tu imeshakuwa hivyoIla wote mlikutana, Sema tu ndio hivyo
NotedCc Jonax
Cc sweetiepieSilaya ya mwisho ni kumroga tu. Maana hamna namnaView attachment 393677
SawaHajanipata badoooo!!!!