Ci wajua kuna wanaume na wavaa suruali?Mhh!! yan kosa ni hilo tu? Labda kuna lingine mana huwa naona mara zote mnataniana na Quigley
But don't kill him[emoji23]Nataly- Forgive Me (Lyrics):The night will be long without you my darling, please forgive me. I guess this will be my last shot [emoji22][emoji22].
Yaani nimemdediketia wimbo anisamehe...ikiwa kama last shot yangu...ikishindikana basi tena....[emoji15]Mhh!! yan kosa ni hilo tu? Labda kuna lingine mana huwa naona mara zote mnataniana na Quigley
Eti wewe jina lako jingine ni kivuruge[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Umeona eeee
Daaaah....[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hivi ile simu SM-G361H nilokununulia bado unayo au ulimhonga kikongwe makavel0-
Mhhhhhhhh.....[emoji32][emoji32][emoji32]Jonax amefurahi! ana matumaini[emoji23]
[emoji53] je na mm naruhusiwa kuomba nafasi ya kazi(love)?Yup nimeachika..[emoji22][emoji22][emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Briz alipambana juu ya jimena, hadi akaenda kumloga sczeceny alikozaliwa huko Iringa, hadi jamaa angu akajitoa jf mazima, very sad.
Briz nakuomba usijetamani mke wangu usijenitoa nami humu aisee
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ci wajua kuna wanaume na wavaa suruali?
Utawagundua wakikutana kikwazo kidogo wananuna
Divide and rule ndo tabia yangu, nimerithi kwa mkoloni...unisome kuanzia leoEti wewe jina lako jingine ni kivuruge[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Well it's more like last try...last chance etc. Nimetumia lugha ya ki movie zaidi. [emoji3][emoji3]But don't kill him[emoji23]
Hatareeeeee sanaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sijui kwa kweliSweetpie ni musukuma???
We mukongo nae unataka kuharibu sasa hadi huku!![emoji23][emoji23][emoji23]Eti wewe jina lako jingine ni kivuruge[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Iseeeeeee!Mwamme asiyepambana juu ya ampendaye ujue hata akikuoa ukiugua ataoa mwingine,
Mshiti huyo
Namwogopa briz balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaribu bahati yako[emoji53] je na mm naruhusiwa kuomba nafasi ya kazi(love)?
Ili nilete stakabathi zangu
KaribuTayari nimeachana naye anyway...japo inauma for a short period of time [emoji15][emoji15]
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Hivi ile simu SM-G361H nilokununulia bado unayo au ulimhonga kikongwe makavel0-
Kweli kabisaJonax amefurahi! ana matumaini[emoji23]