Nashukuru baby kwa kulijua hili nipo vizuri sana haswa nikiwa sijapanic...Na Methali 31: 10 inasema Mke mwema kweli, apatikana wapi?Huyo ana thamani kuliko johari! Nakupenda sana my dear..Kumbe na maandiko unayafaham[emoji12] [emoji12]
Hakika wewe ni mume bora[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Yule mzee mpotezee,huko alikotoka ametelekeza mke na watoto.Nimeshinda vizuri honey. Na mikwara ya hapa na pale kutoka kwa jonax
ni wa kumuignore huyo achana nae [emoji57] [emoji57]Hizi zarau ndio zinatufanya tuwe wamoja jiangalie we mkongwe
Dah unanifanya niachane na usingle boy aisee hii kitu ni ya wapii hii mate yanantoka aiseeView attachment 338734
muda wa mazoezi kidogo
Tulia sasa usijeharibu ongea naye kwa heshima na kumuonyesha kuwa kapata kilicho chema ..Finally, umekubali [emoji2] [emoji2]
Kumbe ulikuwa bado na shaka amaizing!Hapa na Mimi nimemkubali
PM ama mshenga na wewe umeplay part kubwa sana hapa una budi kufurahia...Nafurahi kuona hii couple.
unaitaka hiyo baiskeli nini arifuDah unanifanya niachane na usingle boy aisee hii kitu ni ya wapii hii mate yanantoka aisee
Usijali kuhusu hilo [emoji5] [emoji5]Tulia sasa usijeharibu ongea naye kwa heshima na kumuonyesha kuwa kapata kilicho chema ..
Bila shaka jibu umelipata ama nimwite aje akujibu mwenyewe..[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Wewe utaishia kula kwa macho mkuu.Dah unanifanya niachane na usingle boy aisee hii kitu ni ya wapii hii mate yanantoka aisee
sasa huoni ubaya??na mimi mme wa mtu
Hivi mkuu jambilo ulitoa maana ya hili jina!!Kumbe ulikuwa bado na shaka amaizing!
Nakuaminia sana jiranii..Najaribu kubadilisha hata majina ya watu huku nisije ulizwa huyo ni nani kwa hiyo wewe ni jirani yangu...Usijali kuhusu hilo [emoji5] [emoji5]