Cc jimena1977 - Olof Melberg anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa klabu ya Aston Villa na timu ya taifa ya Sweden.
Anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika uwanja mpya wa Arsenal wa " Emirates " katika mechi ya kimashindano.
Ilikuwa ni Arsenal Vs Aston Villa kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi 2006-07.
1979 - Julio Cesar anazaliwa.
Ni kipa wa zamani wa Inter Milan, QPR na Benfica.
Alikuwepo kwenye kikosi cha Brazil kilichoshiriki kombe la dunia nyumbani mwaka 2014.
Asante mkuu na uwe na Sabato njemaLeo katika Historia;
Kwa Udhamini mnono wa Kupatwa kwa Vikongwe Forum, tukutane kesho.
Karibu JJ kwa magazeti.
Sabato njema.
Byee!!!
Hahahahahaha yani nimecheka mno...Leo katika Historia;
Kwa Udhamini mnono wa Kupatwa kwa Vikongwe Forum, tukutane kesho.
Karibu JJ kwa magazeti.
Sabato njema.
Byee!!!
Ya ukomboziKesho la watu?? Kwani mengine ni ya nani?
Ankali na wewe umo[emoji1] [emoji1] [emoji1]Cc jimena
1988 - Jerome Boateng anazaliwa.
Mchezaji wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.
Kila mtu akiamua kivyake, mimi ujerumani na wewe GhanaView attachment 392638View attachment 392639View attachment 392640View attachment 392641
Mtu na kaka ake timu tofauti
........
Walihonga kupata nafasi
Sisi 1961 bado tupo tupoKumbe 1971 tu?? Ila Qatar kuzuri jamani, yani waarabu wanajua kujenga
Alijifanya ni Rais wa Maisha.
Ndivyo liitwavyo.Jeshi la watu?? Kwani mengine ni ya nani?
Asante, angalau leo kuna dalili ya jua kuangazaPoleni na baridi