SitakiiiiiiiiiiiiiUsiogope bwana manuu hana mke labda mchepuko
Kwahiyo wewe utakuwa single maisha yako yote au?
Aaahhh linamo utaua banaaaEmmyguy unapenda kunifuatilia
Japo hujaandika sentensi niisome wacha nijipe moyo kuwa still niko kwenye right track...Sema neno basi halafu hata mimi nimekuja leo huku so wote sisi ni wageni kabisa..
Nimefanyaje???Nakuangalia tu
HahaaaaaManeno hayo amazing
ongeza mbwembwe bado kidogo atakubali ....Japo hujaandika sentensi niisome wacha nijipe moyo kuwa still niko kwenye right track...Sema neno basi halafu hata mimi nimekuja leo huku so wote sisi ni wageni kabisa..
Pokea mume bora kwa jina la Yesu..Amaizing!Sitakiiiiiiiiiiiii
Npo kwenye maombi ya mume bora
MmmmhhPokea mume bora kwa jina la Yesu..Amaizing!
Basi Mungu ameshajibu maombi yakoSitakiiiiiiiiiiiii
Npo kwenye maombi ya mume bora
Nakomaa naye mwanzo mwisho na anaonekana ni muelewa sana naamini ligi haitakuwa ndefu hii wewe mwenyewe utaona ..ongeza mbwembwe bado kidogo atakubali ....