Ni mwanasoka wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ujerumani.
Ndiye shujaa aliyebadilisha mchezo baada ya kuingia akitokea Sub, wakati Liverpool ilipokuwa nyuma kwa goli 3 bila katika fainali ya Uefa 2005 dhidi ya Ac Milan.
Kuingia kwake kulibadilisha mchezo na kufanya Liverpool irudishe magoli yote na kushinda fainali ile.