[emoji1]1928 - Mangosuthu Buthelezi anazaliwa.
Ni kiongozi wa upinzani nchini Afrika Kusini.
Aliwahi kukaimu Urais wa Nchi hiyo mara 22 katika Uongozi wa Mandela na Thabo Mbeki.
Yaani alikuwa akiachiwa nchi pindi Rais akienda nje ya Nchi.
Ni sawa na Mbowe aachiwe Nchi na Magu akienda ziara ya nje ya Nchi. Hapa kwetu haiwezekani na haitokaa itokee.
Basi ngoja tukusifie wewe tu my cousinNo matter what!!
Mna watafutia kina Mandela sifa za bure tuu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Morning Papaa, Naskia umepata smol haus
[emoji126][emoji126]Red red wine [emoji485] [emoji485] [emoji485]
Anajua mpaka basi yaniNomaa huyo
[emoji17]Nakupenda kama jana
Binamu JJ
Ethiopia hiyoMbona kama mjamaica huyu
HahahaaaSwt P kaz anayo
Kwa huko aliko now [emoji28]
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Basi ngoja tukusifie wewe tu my cousin
Sahizi ndo unasalimia wakati tumshaamka masaa 12 yaliyopitaMmeamkaje leo makapuku!? Sabato njema kwako Mwenyekiti.
Uchochezi huo..[emoji28][emoji28]Umemtosa kwenye kuandamana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Unaona nnavo fanyiwa hapoHahahhaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]Uje PM bas
(Kwa nia njema tuu jaman)
[emoji125] [emoji100]
[emoji28][emoji28]Wanaanzaje sasa
Hahaha.usha fika umeenda chapHahahaaa
AbsolutelyKupitia chanel ya kapuku na
Kubwa lao
Bitoz
TunaisubiriaNitawaletea Old is ever Gold lunch time [emoji4]
Weka pichaNataka nibadilishe avatar niweke hiyo sasa
Nitumie fake kama nyinyi wenzangu
Hahaaa.asavali umimjuaUchochezi huo..[emoji28][emoji28]
Haendi kwenye maandamanoSzczesny alisema tukiamdamana tutavunjwa miguu, akasema yeye hawapendi wanasiasa
Ila amesahau kuwa mlikubaliana kuandamana