Lazima itakuwa inasoma 5, sasa nenda kwenye jukwaa la malalamiko, kuna uzi pale tumelalamika kuhusu tatizo la likes kwa makapuku, ila kwasasa hatuandiki nenda kaweke nukta tu kisha urudi hiyo itaendelea mpaka mods watakapofanyia kazi tatizo letu.
Kuna wenzetu zilikuwa zinasoma mpaka 40, kama kupunguza wamepunguza baada ya makapuku kulalamika, cha msingi nenda kule members only (kwenye malalamiko) kaweke nukta kisha urudi

Bado hawajatuambia tatizo ni nini ila wamesema wanalishughulikia, usikose kupitia kwenye ule uzi wa malalamiko na kuweka nukta tukiwa tunasubiri walifanyie kazi tatizo letu

Malalamiko yameshafika kwa mods na wameahidi kulifanyia ufumbuzi tatizo hilo, kwasasa nenda jukwaa la malalamiko kuna uzi wetu pale usiandike kitu, weka nukta tu baaasi