Makapuku Forum

So guys leo akat nafanya mambo flan hvi nliona kwenye tv lakini nliona kitu cha ajabu ajab kidogo
Kina itwa seadragon nadhan
Hahaha
Nlicheka kdogo so chenyewe kipo namna hii

Then nika pata idea nifanye kuchek viumbe vingine vya ajabu ajabu ambavo hupatkana baharini yaan 10 craziest looking sea creatures of the deep sea
 
Huu ujumbe unahusika sana huu nimeuelewa sana....Love is weird aisee, soo weird and yet unpredictable, love is not planned (never) it always happens so fast bila mtu kutegemea yaani just like a plane crush, daah weirdo aisee...and most of all love is uncontrollable huwezi kujizuia.
 
Anatisha...
 
Interesting......
 
Number 10,Roughback Batfish haha ujue wanao zama baharini huwa wana fia mengi sio kunywa maji tuu imagem una ona kitu kama hii, sasa huyu ni samaki ambaye saa nyingne huitwa anglerfish, the Ogcocephalus na ni jamii ya batfish ambao hukua nchi 4, yaan sentimita 10, na wana sema hutoa ute ambao huvutia samaki wengne wadogo wadogo na huwa ina wa shika na inawala
 
Mhh huyu anatisha zaidi ni kweli kama popo aisee
 
Anatisha na haeleweki sura yake..... Bundi si bundi
 
Number 9, Northern Stargazer huyu ni ainanya samaki anaye patikana huko marekani na huwa na urefu wa nchi takrobani 30, yeye huwa ana patikana hata futi 120,chini ya bahari na hupenda kujificha kwenye mchanga ili akamate mawindo, anapo taga mayai yake huya acha kwenye kina kifupi na visamaki mtoto vikisha zaliwa huingia navo chini ya baharo kuanza maisha huko
 
Number 8, Matsuba Koi (human faced fish)ana itwa samaki mwenye uso wa binadamu si kwakuwa ana uso kama wa binadam ila the fact kwamba ana maskio, pua mdomo na mambo kama hayo ndo yana mfanya aitwe hvo
Actually ni ngum sana kupata maelezo yake kwa kina
 
Analiwa??
 
Mi nimeona kama ana sura ya paka, kwakweli huyu fish ni paka mtupu
 
Number 6 Pink Handfish huyu ni aina ya samaki ambaye badala ya kuogelea kwenye maji yeye hutembea tuu, huwa ni hamii ya Brachionichthyidae ambayo ni samaki wanao kadiriwa ku wepo maelfu ya miaka iliyo pita, ukitaka kumwona huyu nenda austaraia, na hiyo inayo onekana kama mikono actualy ni fins(nme shndwa kuitafsiri kwa kiswazi) ila zime extend na kuwa kama mkono
 
Number 5,sea pig hawa wanaitwa nguruwe maji, na ni samaki ambao hupatikana mita 1000,chini ya bahari na huwa kwa wingi hulo antactca, kwa hiyo hawa wao uwa wana kamatwa sana kwa kutumia nyavu nene aka trwaling unaweza kuwakamata kama 3000-5000 kwa wakati mmoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…