1.Ghana
View attachment 386596 asilimia 71,ya wa Ghana ni wa kristo akar 17,ni waislam
Na wananchi wa huko wanaishi kwa amani na inasemekana wao dini huwasaodia kuwa watulivu , asilimia 96% wana shiriki kikamilifu mambo ya dini akati asilimia 2 tuu ndo wana dai hawana tyme na dini , asilimia 2,nyingne wana fanya nusu nusu