Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1998 - Rais Bill Clinton wa Marekani anakiri kupitia tepu zilizorekodiwa kuwa, alikuwa na uhusiano na Monica Lewinsky, mfanyakazi wa ikulu ya Nchi hiyo.
Duh! Raisi akichepuka ikulu humo humo lazima tu itashtukiwa kirahisi, angekua ka mzee wa msoga asingerekodiwa namna hiyo [emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…