Hillary naye atamtosa bill wakiwa white house?
Leo katika Historia:
1844 - Mfalme Manelik II azaliwa.
Alikuwa ni mfalme wa Ethiopia.
Bora, alikuwa katili sanaLeo katika Historia:
1988 - Jihadi John anazaliwa.
Alikuwa ni mwanachama wa kundi hatari la kigaidi la ISIS.
Alifariki mwaka 2015.
Weka picha.Eti leo nmemtext wangu wa zamani *Hi.... aka-Update Her Status (Am Happy without you) alijua cjui nataka nn kumbe nlitaka nimwambie nmekutana na Mamake Mjini kavaa Koti langu.
.....................
Akilimali jina lake tu utata kuliita, sembuse mambo yakeSina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee Akilimali, tukutane kesho.
Wala sikuwahi kumlaumu Clinton kwa mrembo yule.Monica alikuwa mrembo sanaaaaa
Leo katika Historia:
1977 - Thierry Henry anazaliwa.
Ni mchezaji wa wa zamani wa Arsenal, Barcelona na Ufaransa.
Ni mchezaji bora zaidi wa Kigeni kuwahi kucheza EPL.
Wenye uwezo wao.
Alikuwa anajua sana.Chogo alikuwa anatisha kama njaa
Hatarii sanaHuyu ni mtata sanaaaa
Leo katika Historia:
1977 - William Gallas anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa Chelsea, Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.
Leo katika Historia:
1980 - Daniel Guiza anazaliwa.
Straika wa zamani wa Getafe, Mallorca na Timu ya taifa ya Hispania.
Alishinda ubingwa wa Euro 2008.
Mi pia sijawahi kumlaumu na sitakuja kumlaumu... Nani angevumilia pale??Wala sikuwahi kumlaumu Clinton kwa mrembo yule.
Labda uwe Sir EltonMi pia sijawahi kumlaumu na sitakuja kumlaumu... Nani angevumilia pale??
Leo katika Historia:
1982 - Phil Jagielka anazaliwa.
Ni beki wa Everton na timu ya taifa ya England.
El capitano de la Everton.
Asante kwa historiaSina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee Akilimali, tukutane kesho.
Anachinja mtu kama anavyochinja kukuBora, alikuwa katili sana
Leo katika Historia:
1988 - Jihadi John anazaliwa.
Alikuwa ni mwanachama wa kundi hatari la kigaidi la ISIS.
Alifariki mwaka 2015.