Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,399
Tayari nishaweka mambo hapo.Story ya Madonna na tukio la Argentina
Huwa wanasema kuwa kipato chako ndio mwisho wa kufikiria kwako.Umeona eeh!! Kuna watu wanapaswa kulaumiwa kwa kutufikisha hapa.
Basi we unanijua sana,Masuala ya imani ni magumu sana...mfano nafahamu fika huko ulipo wengi hawaamini kama kuna Mungu Non believers. Dini ni nadharia ngumu sana.
Team picha ingekuhusuMambo mengine hayafai kuyaweka hadharani.
Tutashtakiwa.
Hapa sasa tuko pamoja,Tayari nishaweka mambo hapo.
Waargentina walikuwa na masikitiko baada ya kugundua Eva Peron kuwa ana kansa, sasa Eva hakupenda wananchi wasononeke. Akaomba itungwe nyimbo kwa heshima ya watu wa Argentina waliokuwa wanahuzunika.
Eva Peroni alikuwa ni mke wa Rais wa nchi hiyo, na pia kutokana na uongozi wake bora kama First lady wa nchi hiyo, akapewa " Urais wa Heshima "
Alifariki akiwa na miaka 33. Mbichi kabisa.
Weka pichaTeam picha ingekuhusu
Asante mkuu...Tayari nishaweka mambo hapo.
Waargentina walikuwa na masikitiko baada ya kugundua Eva Peron kuwa ana kansa, sasa Eva hakupenda wananchi wasononeke. Akaomba itungwe nyimbo kwa heshima ya watu wa Argentina waliokuwa wanahuzunika.
Eva Peroni alikuwa ni mke wa Rais wa nchi hiyo, na pia kutokana na uongozi wake bora kama First lady wa nchi hiyo, akapewa " Urais wa Heshima "
Alifariki akiwa na miaka 33. Mbichi kabisa.
Kwa kosa la uchocheziMambo mengine hayafai kuyaweka hadharani.
Tutashtakiwa.
hahahahTeam picha ingekuhusu
Sasa umenijuaje kiasi cha kusema nilipo watu hawaamini??Hapana...mi ni Sweetiepie tu...nna kama mwezi hivi JF mbona hivyo Jimenna?
Jioni Mafunguo sio mtu wa kuchezewa. Kama ambavyo yeye mwenyewe anavyojinasibu.Kwa kosa la uchochezi
Wakishachaguliwa huwa wana maneno ya shombo sanaWanasiasa nux sana.
Wengine wapo kazini humu japo sio kwa huyo.Sasa umenijuaje kiasi cha kusema nilipo watu hawaamini??
Labda tuanzie hapo
Umenishtua kiasi
Kabisa, kwa sasa tutakuwa watazamaji tu wa hili movie la kihindiJioni Mafunguo sio mtu wa kuchezewa. Kama ambavyo yeye mwenyewe anavyojinasibu.
Mboyoyo mingi mingi...Wakishachaguliwa huwa wana maneno ya shombo sana
Nakubaliana na wewe kwa 200%Wengine wapo kazini humu japo sio kwa huyo.
Uzuri na wengine hawajuani hata ID.
Believe me, steringi lazma afie kwenye maua.Kabisa, kwa sasa tutakuwa watazamaji tu wa hili movie la kihindi
Hahahahahaha ni shiiiiidaBelieve me, steringi lazma afie kwenye maua.
Huu mchezo hauhitaji hasiraMboyoyo mingi mingi...