Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,320
- 68,397
Hapo sawa.Ntaweka 3 ambazo nazikubali zaidi
1. Holiday
2. La Isla Bonita
3. Frozen
Hope zinapendwa na wengi kwa hiyo mtazifurahia, pia kama kuna yoyote akitoa request ntaicheza pia[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Hakuwa Uchwara.View attachment 382431View attachment 382432View attachment 382433Walimjaribu Jioni Pombe wao
........
[emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188][emoji124]
Njoo PM
Alizikwa na wengi
Hatupaswi kuhukumu.R.I.P Idd Amin...au sijui niseme R.I.Hell hata sielewi
Pamoja Mkuu...Asante Mussolin 5, kwa historia ya leo...Happy birthday Maddona
Pesa inafanya Dunia izunguke.Old is ever Gold huyo....anazidi tu kuwa mdada.
Kaka humu ni fool peace....Makapuku forum raha sana hata ukikohoa unapewa like za kumwaga
Ndio maana nikasema sielewi...maana ni kweli hatuwezi jua dakika za mwisho za kupigania uhai wake aliongea nini na Muumba.Hatupaswi kuhukumu.
Mjomba angu alihudhuriaAlizikwa na wengi
Picha plzMjomba angu alihudhuria
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
...........
[emoji102] [emoji85] [emoji85]Niliiona ila kausha tu mi mwenyewe sahivi nafanya mchakato wa Auric air niweze kwenda kumsalimia briz
Weka picha.Mjomba angu alihudhuria
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
...........
kweli.Ndio maana nikasema sielewi...maana ni kweli hatuwezi jua dakika za mwisho za kupigania uhai wake aliongea nini na Muumba.
Hi Shem languMorning Shemeji
[emoji87] [emoji85] thanks[emoji125]Lmfao
Sio kwa kutukomesha huko...
Hongera kwa 84k
Mi niko poa sana,Hi Shem langu
Hili ni swala la msingi sanaWeka picha.