Makapuku Forum

Number 4, Prince William na Kate Middleton – usd 34 Million hii ilikuwa ni harusi ya mjukuu wa malikia na mtoto wa princess Diana, ilioneshwa live kwenye kila televishen kubwa na wageni waalikwa walikuwa 1900 na kwa sababu ni harusi ya kitaifa protokali zilikuwa nyingi sana siku hiyo kwa kuwa na mie nlienda
 
Safi sana kaka...hawakuruhusu tupicha?[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…