Makapuku Forum

Number 5, Kim Kardashian na Kris Humphries – usd 10 Million hii ndiyo harusi ambayo karibu kila chombo cha habari kilitaka kiinunue na wao hizo milion 10 hawaku hangaika kuzilipa kwani talevisheni ya E! Ili kava karibu gharama zoote kwa makubaliano kuwa tv hiyo ita onesha harusi yote live, na harusi ilipo oneshwa iliangaliwa na watu zaid ya milion kumi, na pia waliingiza wao kisa cha usd milion 18 kwa makampun yaliyo taka picha zao, eeh ndo hvo
Ika ndoa yao haikudumu kwani wali weka rekodi ya kudumu kwa siku 72 tuu
 
Wale waleeee....wazee wa kuspend mahela
 
Khaaaaa.. Saa 72
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…