Kumbe kuna chamber ingine huku watu wanaitana majina yale ya faraja kabisa..Wacha nifanyE uhudhuriaji huku nione kama na mimi naweza badili jina la mtu hapa...
Hii tu kutoka kwako inaonyesha ukarimu wa hali ya juu kutoka kwenye chamber hii..Asante sana mkuu..Nilikuwa sijajua kuna hii chamber na yawezekana nime miss mengi...Wacha nipitie huku juu nione kama kuna mtu alimwita cute b yale majina yenye faraja..Then ntarudi hapa hapa..