Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
Kumbe Kabla ya hapo hawakuwa wanalipwa?Leo katika Historia:
1935 - Rais Franklin Roosevelt wa Marekani anasaini rasmi sheria ya kuwalipa mafao " Pensheni " wastaafu wa nchi hiyo.
LolLeo katika Historia:
1959 - Ligi ya " American Football " yaanzishwa rasmi huko Marekani.
Na hata sasa mahusiano yao mi nayaona kama ni ya kinafiki tuLeo katika Historia:
2015 - Ubalozi wa Marekani nchini Cuba wafunguliwa tena mara baada ya kufungwa kwa miaka 50 iliyopita kutokana na uhusiano mbaya wa Marekani na Cuba.
Happy Birthday BeautifulLeo katika Historia:
1968 - Halle Berry anazaliwa.
Ni mwanamitindo, Muigizaji na Miss United States wa 1998.
Sijamsikia long time sijui yu wapi siku hiziLeo katika Historia:
1973 - Jay Jay Okocha anazaliwa.
Mwanasoka mahiri wa zamani wa Nigeria.
Leo katika Historia:
1945 - Japan yasaini na kukubali kushindwa kwake kwenye vita kuu ya pili ya Dunia na kufanya kumalizika rasmi kwa vita hiyo Duniani.
Huyo aliyepigishwa magoti wanataka kumfanya nini...mbona sijaelewa jamani [emoji33]View attachment 381260View attachment 381262View attachment 381263Kina Takuma sawa na Mgambo
.......
Leo katika Historia:
1947 - Pakistan yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
Huu sasa uchochezi [emoji134] [emoji134]Huyo aliyepigishwa magoti wanataka kumfanya nini...mbona sijaelewa jamani [emoji33]
Sasa huyu Enzo atakuwa ndio Ozil basi kwenye mwili mpya....Leo katika Historia:
1988 - Enzo Ferrari anafariki Dunia.
Ni mwanzilishi wa kampuni ya Magari ya Ferrari.
Anafanana sana na Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil.
Mwaka aliofariki Enzo Ferrari ndio mwaka aliozaliwa Ozil.
Ilikiwa kavukavu. Unastaafu unachapa lapa.Kumbe Kabla ya hapo hawakuwa wanalipwa?
Urafiki wa Mashaka.Na hata sasa mahusiano yao mi nayaona kama ni ya kinafiki tu
Huyu bibi hazeekiHappy Birthday Beautiful
Amekuwa kimya sana. Pengine ana project zake anapiga.Sijamsikia long time sijui yu wapi siku hizi