Makapuku Forum

Ahh.. Sasa kwani kati ya mtume Muhammad na paulo na wengineo nani wa katangulia, mbona picha za watangulizi wake tunazo best..
Mkuu kwa wale waislam wenye msimamo mkali hawapendi hata filamu zinazo igiza maisha ya mtume
Hairuhusiwi kabsa kumchora mtu na kumfanya ndo mtume, hata Yesu na Musa haruhusiwi kuchorwa au kuekwa picha dhahania
 
FIX ZA BITOZ:
1/Bitoz nyangema=Bitoz mkuu/Mungu wa matozy

2/Bitoz mshua=bitoz aliye smart kimavazi hadi mfukoni

3/Bitoz pori= huyu hakuna anachojua zaidi ya kuvaa nguo matakoni tu

4/Bitoz kaoge=huyu mlainilaini hadi anapakatwa

5/Bitozkisketi=huyu ana mambo ya kike lkn siyo kaoge mfn anavaa vihereni .kipini n.k

********""""""""""""****
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…