Makapuku Forum

Eeeh
Abar yenyu polen na shughuli za kila shughuli za kila siku
Le nilikuwa naskiliza wimbo wa usije mjini wa FA na AY alaf naikawa napata mawazo ya hawa watu wakuu
Halaf na leo nikaenda nje ya jiji huko nmekuta watu wapo tuu na ni wengi

Sasa kumbe jiji lina zid kujaa kiaina
 
Okey wakat tuna sema dar watu wasije kuna jaa kumbe jiji hili lina watu milioni 4
Hakika ni watu wachache sanaa hao kwa kuthobitsha hilo

Leo tuta cheki majiji yenye watu wengi zaid kuliko yoote duniani
Yaaan
10 Most Populated Cities On Earth .
 
Asante
Sasa mapambano yanazidi kupamba moto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…