Makapuku Forum

Hasa wakuu leo naleta ishu sensitive kdogo

Kwa kuwa mimi kwetu ni Iringa na wahehe huwa tuna sifikia pia kwa kupenda kujiondoa duniani(yaan kujinyonga) na hii kitu iko duniani koteee
Hvo leo naleta mchi zinazo ongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya watu wanao jiua duniani

Yaani Countries With The Highest Suicide Rates In The World
 
Sasa msishangae sana kwa kuwa data hizi zina tolewa na shirika la afya duniani (WHO) na namna walivo zi rate ina nisumbua kidogo but we kinacho takiwa ujali ni rank hzo hayo masuala ya wana zi rate vipi mi sjui

Haya sasa twende kazi
 

Hang on Kapukuz
Interesting
.................
 
Number 10, Kazakhstan – 23.8 (40.6 wanawake – 9.3 wanaume) nchi hii iko Asia ya kati na ni moja ya nchi ambazo kujiua ni sehem ya kawaida kwa watu kufariki, pia ina chukua asilimia 3 ya watu wanao jiua katka nch zoote duniani, vijana wengi wa miaka 15-19 ndiyo wana kadiriwa kujiua zaid kwa sabab ya changamoto mbali mbali za ki maisha
 
Number 9, Nepal – 24.9 (30.1 wanaume – 20.0 wanawake) Nepal ni nchi ya vilima vilima huko Asia ya kusini kujiua kwao imekuwa ni kitu cha kawaida lakin kasi hiyo imeongezeka hivi karibuni ambapo majaribio hasa ya kujiua yameongezeka karibu mara 20 kuliko ilvo kuwa mwanzo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…