Makapuku Forum

Ni wachache sana hupata bahati kama ya Gerald Ford.

Hapa kwetu Mwinyi nae alipata Urais bila kutegemea.

Alipewa Urais wa Zenji kisha baadae akapata Urais wa Bara na kuwaacha akina Cleopa Msuya, Rashid Kawawa na Ahmed Salim wakipigana vikumbo bila mafanikio ya Urais.
 
Duuh...huyu nae alikuwa ni wa aina yake!!
 
Hahahaha
Kweli
Au Nigeria bwana Goodluck jonatah
Alikuwa naibu gavana gavana akafa, aka rithu ugavana
Makam wa rais aka jiuzulu
Aka pewa umakam
Rais akafa
Aka pata urais
Hahahaha ni wachache kwel kweli
 
Hata Rais Mapombe Makufuli km zali vile mwanangu kawa rais kaanza utemi
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…