Makapuku Forum

Nani kakwambia walikula team haina pesa za kusajili wachezaji wa maana ndio maana haifiki kutwaa ubingwa
Hayo mengine ni maneno ya mtaani tu
Mkuu wajanja akina Rage walikula rambirambi ya Papaa Mafisango
Ndio hamna wachezaji wa kushindana na akina Kamusoko lkn kabla yao timu nilikuwa sawa tu lkn bundi alitanda mto Msimbazi
..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…