Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1984 - Bastian Schweinsteiger anazaliwa.

Ni kepteni wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani na pia anacheza katika klabu ya Man United.

Katika ubora wake alisifika zaidi kama Box to Box Midfielder yaani alikuwa na uwezo wa kukaba timu inaposhambuliwa na kushambulia pindi timu inaposhambulia.

Siku zake ndani ya klabu ya Man Utd zinahesabika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…