shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,912 Aug 1, 2016 #75,129 Morning
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,296 Reaction score 68,376 Aug 1, 2016 #75,134 Leo katika Historia: Ni tarehe 1 mwezi 8 Mwaka 2016. Imebaki miezi takribani minne kabla ya mwaka huu kuisha. Tuanze Historia zetu...
Leo katika Historia: Ni tarehe 1 mwezi 8 Mwaka 2016. Imebaki miezi takribani minne kabla ya mwaka huu kuisha. Tuanze Historia zetu...
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,296 Reaction score 68,376 Aug 1, 2016 #75,135 Leo katika Historia: 1876 - Jimbo la Colorado latambulika rasmi kama jimbo la 38 huko nchini Marekani.
Leo katika Historia: 1876 - Jimbo la Colorado latambulika rasmi kama jimbo la 38 huko nchini Marekani.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,296 Reaction score 68,376 Aug 1, 2016 #75,136 Leo katika Historia: 1914 - Ujerumani yatangaza rasmi vita dhidi ya Urusi na hivyo kupelekea Vita kuu ya kwanza ya Dunia kuanza.
Leo katika Historia: 1914 - Ujerumani yatangaza rasmi vita dhidi ya Urusi na hivyo kupelekea Vita kuu ya kwanza ya Dunia kuanza.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,296 Reaction score 68,376 Aug 1, 2016 #75,137 Leo katika Historia: 1960 - Nchi ya Dahomey yajitangazia Uhuru wake toka kwa Ufaransa. Dahomey ilikuja kufahamika baadae kama Benin.
Leo katika Historia: 1960 - Nchi ya Dahomey yajitangazia Uhuru wake toka kwa Ufaransa. Dahomey ilikuja kufahamika baadae kama Benin.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,296 Reaction score 68,376 Aug 1, 2016 #75,138 Leo katika Historia: 1960 - Mji wa Islamabad watangazwa rasmi kama mji mkuu wa Pakistan.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,296 Reaction score 68,376 Aug 1, 2016 #75,139 Leo katika Historia: 1961 - Waziri wa Ulinzi wa Marekani anashauri kuanzishwa kwa Shirika la Ujasusi la Jeshi la Marekani na kufanya Marekani kuwa nchi ya kwanza yenye kutumia ujasusi wa Kijeshi.
Leo katika Historia: 1961 - Waziri wa Ulinzi wa Marekani anashauri kuanzishwa kwa Shirika la Ujasusi la Jeshi la Marekani na kufanya Marekani kuwa nchi ya kwanza yenye kutumia ujasusi wa Kijeshi.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,642 Aug 1, 2016 #75,140 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1876 - Jimbo la Colorado latambulika rasmi kama jimbo la 38 huko nchini Marekani. Click to expand...
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1876 - Jimbo la Colorado latambulika rasmi kama jimbo la 38 huko nchini Marekani. Click to expand...