AsanteNaona umeitupia kilaini kama unamsukuma mlevi vile [emoji4] [emoji4] [emoji4] , hongera zako lakin
Pole sana kafiwa na nani na msiba uko wapi?Nipo wangu, wikend yangu ipo kimajonzi... Nipo kwenye msiba toka jana kuna rafiki yangu kafiwa
Kote tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uko vizuri mchangani
Hii figa kibokoTukilu mama lai, Hips never lie!..Sidai!
Zile za kimataifa kama 80k huziwezi, niachie mimiKote tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ha ha ha mi nimeshazipata sana tu, ila mi na wewe tuonane kwenye 100kZile za kimataifa kama 80k huziwezi, niachie mimi
Naangalia LIVEWamechomoa
usiwaze!Ha ha ha mi nimeshazipata sana tu, ila mi na wewe tuonane kwenye 100k
Naangalia LIVE
.........................
Siku hiyo tu tutajua nani hodari kwenye mbio ndefuusiwaze!
Poleni sanaNipo wangu, wikend yangu ipo kimajonzi... Nipo kwenye msiba toka jana kuna rafiki yangu kafiwa
hahaha Basi 100K tuiite Kapuku MarathonSiku hiyo tu tutajua nani hodari kwenye mbio ndefu
Vp pressure haijapandaNaangalia LIVE
.........................
Beki wazembe wanategeana kukabatumepigwa la pili
Ndio na ianze kudhamini segment mbali mbali toka 91k mpaka itakapogotahahaha Basi 100K tuiite Kapuku Marathon
Kafiwa na babake, msiba upo bunjuPole sana kafiwa na nani na msiba uko wapi?
Haha mwenyewe nimejiuliza Mussolin5 kakuachiaje karahisi hivyoAsante
Walikuwepo Bitoz, Shululu na Mussolin5 ila nilikuwa namhofia Mmoja tu na kwakweli hakufua dafu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Poleni. Hakika huo ni msiba mkubwa sana, uwe nae karibu ili walau ajisikie vizuriKafiwa na babake, msiba upo bunju