Makapuku Forum

View attachment 373531
Mimi sio bahili km yule Jambilo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
..........
We acha zako. Hiyo moja haitoshi maana nataka nauli ya kutoka sitimbi mpaka nnapoenda.
Kuna watu nimewamiss mno sasa ndo nataka nikawatafute? Mkiwaona waambieni nawatafuta jamani
Watu hao ni...........
1. Szczesny Carenza de la fuma de la Casa
2. briz Bristol Miguel Clinton
Sijawaona leo kabisa sijui mko wapi jumamosi ya leo[emoji134]
 
Mi huwa nameha kisela natuma nauli tu
Jambilo ndo wakuhonga
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…