Makapuku Forum

Tena ndo wanapatikana kwa wingi kwenye vizimba vya COET...na mabweni ya kule kwenye migahawa yaani wanajiachia tu hadi nikashangaa km wana hisa pale UDSM
...............

Ila kuna swali la msingi la kujiuliza hapa, ni kwanini hawaishobokei Mlimani Primary na badala yake wakipenda kubarizi zaidi kwa Undergraduates? Ama wao wanajiona wameshamaliza elimu ya msingi na kwamba wao ni level nyingine?
 
Mbona jibu ni rahisi....wana akili karibia tofauti na akina Nyati
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…