Makapuku Forum

View attachment 372497
Mean while UDSM wazee wa pori wakiwa kwenye mchakato wa kuongeza maarifa...Elimu Bahari! Chekechea inaanzia Ferry!
Naendaga sana UDSM kumejaa Ngedere wanaiba hadi ndizi za wanafunzi hostel usipofunga dirisha wanakula hadi ubwawa kisha wananyea poti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
..................
 
Bora wangeenda hata kupiga misele SUA tujue labda wapo kwenye maeneo yao ya kuonesha umahiri ila kuingia COET ni uhuni tu maana Engineering na Pori wapi na wapi!
Tena ndo wanapatikana kwa wingi kwenye vizimba vya COET...na mabweni ya kule kwenye migahawa yaani wanajiachia tu hadi nikashangaa km wana hisa pale UDSM
...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…