DEATH HOAXKuna habari kuwa Anord amefariki, Kuna ukweli wowote (gavana wa California)
Nimekupata kapukuDEATH HOAX
Uzushi
Trust me tangu last year ipo
.......
Usiwage na kiherebere cha kuandika R.I.PNimekupata kapuku
Poa mkuu, mambo vpMambo vp
Niliuliza, sikuwa nimeweka (RIP)Usiwage na kiherebere cha kuandika R.I.P
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.................
My Wii uko poa??Kwema Wii
Asante na kwako pia
Miss u tooMic uuu
Ni uzushi toka jumapili ndio walivumishaKuna habari kuwa Anord amefariki, Kuna ukweli wowote (gavana wa California)
Wanakaa mkisahau wanaipost tena, hivi wanapata faida gani?DEATH HOAX
Uzushi
Trust me tangu last year ipo
.......
Niko poa Wii, miss u moreMy Wii uko poa??
Nilikumc sanaaaaaa
Tatizo tumeshafungwa[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Pouwa, za wewe???Za jion wakuuu
Nzuri mkuuZa jion wakuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh! Siku moja nimetouliaa Sehemu naskizia kibreezz! Mara akapita demu! toto Hilwaaa! Nikasema simuachi.. nikatoa noti ya 10,000 nikaandika no. Zangu ( 07152000** ♡♡♡) alafu nikamuita pphsss phsss! Mrembo umeangusha pesa, yule demu akaichukua pesa hata hakuisoma... mara hajafika mbali namuona anainunulia Mihogo. Nilisunyaaa !!! [emoji30] [emoji31] ANYWAYYY hiyo haikua shidaaaaa. Shida ni Yule jamaa wa Mihogo ananisumbua daily alifikiria ile namba ni ya yule Demu !! [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]