makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,449
- 108,520
Aahh.. Huyu mtu hatari, yeye na pacha wake, wanapiga ngum nzito, zile za kupoteza u"handsome boy"
Mikosi na iwe mbali nanyi makapuku
Siku na iwe ya mafanikio[emoji385] [emoji384] [emoji385] [emoji384] [emoji383]
Nawatakia siku njema
Adui zenu na wawe adui za Mungu
Amin mkuu..Amani na ijae mioyoni mwenu
Kumbe umeshaaga[emoji3]Leo sina mengi sana tukutane kesho hapahapa muda kama huu kwa Udhamini wa nguvu wa Roma Mkatoliki.
Mbona kitambo atiKumbe umeshaaga[emoji3]
Acha nami nizisogeze kusukuma gurudumu
Amen[emoji120]Nawatakia siku njema
Siku na iwe ya mafanikio[emoji385] [emoji384] [emoji385] [emoji384] [emoji383]
Amen[emoji120]Adui zenu na wawe adui za Mungu
Amani na ijae mioyoni mwenu