Nko poa kabisa, hata mm simwelewi sijui ni kipi anachokihitaji.. ndo mana nkamwambia fafanua coz hii ni nara ya pili sasa analalamika kuhusu hiloHuwa simwelewi huyo dogo kabsaa, umeamkaje mkuu
AmenAmani na ijae mioyoni mwenu
Leo katika Historia:
1971 - Vitali Klitschko anazaliwa.
Ni bondia mahiri toka nchini Ukraine. Pia ni mwanasiasa.
Nawe piaAsubuh njema all
Leo katika Historia:
1979 - Luke Young anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Uingereza.
Asante sana mkuu mussolin kwa leo katika historiaLeo sina mengi sana tukutane kesho hapahapa muda kama huu kwa Udhamini wa nguvu wa Roma Mkatoliki.
AsanteNawe pia
Leo katika Historia:
1981 - Nene anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Brazil.