Kwa hiyo na mm siruhusiwi kujichanganya nao?"Mwanaume anayeendeesha gari la baba yake haruhusiwi kuongea neno kwenye kundi la wanaume wanaomiliki baiskeli zao."
-Robert Mugabe leo asubuhi saa 12
asanteView attachment 366924View attachment 366925
Na kwa kufikia hapo basi sina la ziada kutoka kwenye magazeti namuachia nafasi Mussolin5 ili aje atupe leo katika historia
Shukrani za dhati ziwafikie wa kimataifa kwa kudhamini magazeti ya leo
Adios amigo
Daa kuna watu ambao historia zetu hazipo kabisa...yaani hatujawahi kuwa watu!Leo katika Historia:
1954 - Angela Merkel anazaliwa.
Ni kansela wa Ujerumani.
Hii 70k lazima niivizieSina la ziada tukutane kesho kwa udhamini wa nguvu wa Medeama pamoja na 70k.
HASTA LA VISTA!!
Leo katika Historia:
1954 - Angela Merkel anazaliwa.
Ni kansela wa Ujerumani.
Leo katika Historia:
1955 - Disney land yafunguliwa rasmi na Walt Disney huko California, Marekani.
Leo katika Historia:
1972 - Jaap Stam anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man utd, Ac Milan na Uholanzi.
Leo katika Historia:
1976 - Anders Svensson anazaliwa.
Mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Sweden.
Happy Birthday AngelaLeo katika Historia:
1954 - Angela Merkel anazaliwa.
Ni kansela wa Ujerumani.
Sisi wengine hatujawahi pelekwa huko mpaka tumezeeka sasaLeo katika Historia:
1955 - Disney land yafunguliwa rasmi na Walt Disney huko California, Marekani.
Happy Birthday SvenssonLeo katika Historia:
1976 - Anders Svensson anazaliwa.
Mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Sweden.
LolDaa kuna watu ambao historia zetu hazipo kabisa...yaani hatujawahi kuwa watu!
Hii 70k endelea tu kuiota wakati mi ntahakikisha kuwa lazima naitupiaSina la ziada tukutane kesho kwa udhamini wa nguvu wa Medeama pamoja na 70k.
HASTA LA VISTA!!