Kiukweli kutoka moyoni nimeikubali hii sehemu maana watu wanachangia, tupia like na mambo mengine kama hayo....heshima kwako uliefikiria kuanzisha forum hii maana hata kapuku mimi najiona next level......!