Ushabiki wa mpira unaumiza sana hasa ukiwa mnazi wa mpira kama wadau wengine humu, mi nashabikia lakin sio mnazi sana wa mpira so hata timu yangu ikifungwa maumivu huwa siyajui kabisa