Makapuku Forum

Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED

[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
huu sasa ni utani wa ngumi[emoji121]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…