Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Jul 7, 2016 #66,429 Jimena said: Mi sina haraka ya kumjua, werasson ndo amenipa hiyo habari na hakumtaja, hivyo wakati ukifika basi ntamjua Click to expand... Marekebisho pliz...mimi namfaham kiasi ila simjui
Jimena said: Mi sina haraka ya kumjua, werasson ndo amenipa hiyo habari na hakumtaja, hivyo wakati ukifika basi ntamjua Click to expand... Marekebisho pliz...mimi namfaham kiasi ila simjui
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Jul 7, 2016 #66,430 Jimena said: Morning family Click to expand... Morning my sissy
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 7, 2016 #66,433 Hadi kufikia hapo, sina la ziada, asanteni wote na nawatakia mapumziko mema Kwa hisani ya CR7
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 7, 2016 #66,434 Gazeti pekee lililoandika kichwa cha habari chenye weledi kuhusu MESSI mengine yote mbwembwe .............
Gazeti pekee lililoandika kichwa cha habari chenye weledi kuhusu MESSI mengine yote mbwembwe .............
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 7, 2016 #66,435 QUIGLEY said: Marekebisho pliz...mimi namfaham kiasi ila simjui Click to expand... Ulimfahamuje ??
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Jul 7, 2016 #66,436 Jimena said: View attachment 363745View attachment 363746View attachment 363747 Hadi kufikia hapo, sina la ziada, asanteni wote na nawatakia mapumziko mema Kwa hisani ya CR7 Click to expand... Bila shaka una amani kwani umelipa deni, asante kwa kazi muruaaa
Jimena said: View attachment 363745View attachment 363746View attachment 363747 Hadi kufikia hapo, sina la ziada, asanteni wote na nawatakia mapumziko mema Kwa hisani ya CR7 Click to expand... Bila shaka una amani kwani umelipa deni, asante kwa kazi muruaaa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 7, 2016 #66,437 Bitoz said: Gazeti pekee lililoandika kichwa cha habari chenye weledi kuhusu MESSI mengine yote mbwembwe ............. Click to expand... Wengine wanakuza mambo tu ili wauze
Bitoz said: Gazeti pekee lililoandika kichwa cha habari chenye weledi kuhusu MESSI mengine yote mbwembwe ............. Click to expand... Wengine wanakuza mambo tu ili wauze
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 7, 2016 #66,438 Jimena said: Wengine wanakuza mambo tu ili wauze Click to expand... Hakuna 7bu yoyote ya kusema jela miezi 21 wkt haendi gerezani .....wamezoea kutulisha matango pori asubuhi asubuhi ............
Jimena said: Wengine wanakuza mambo tu ili wauze Click to expand... Hakuna 7bu yoyote ya kusema jela miezi 21 wkt haendi gerezani .....wamezoea kutulisha matango pori asubuhi asubuhi ............
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jul 7, 2016 #66,439 Bitoz said: Hakuna 7bu yoyote ya kusema jela miezi 21 wkt haendi gerezani .....wamezoea kutulisha matango pori asubuhi asubuhi ............ Click to expand... Yaaaani Ilipaswa wawe wanachukuliwa hatua
Bitoz said: Hakuna 7bu yoyote ya kusema jela miezi 21 wkt haendi gerezani .....wamezoea kutulisha matango pori asubuhi asubuhi ............ Click to expand... Yaaaani Ilipaswa wawe wanachukuliwa hatua
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Jul 7, 2016 #66,440 Leo katika Historia: 1978 - Visiwa vya Solomon vyapata Uhuru wake.